Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Salaam wakuu, thread hii tutakuwa tunapeana updates zote zinazohusu Reggae Music. Reggae shows zinazofanyika jirani na maeneo yetu, requests za nyimbo mbalimbali za Reggae, riddims, dj mix nk. Kiufupi ukiamka unajiskia "Airee" wewe ingia humu kula reggae mwanzo mwisho. Mkuu Paw tunaomba utusaidie kuweka hii thread sticky kwa sababu itakuwa na frequent updates. Natanguliza shukrani
One Perfect Love!
1 September 2016:
Leo ni siku ya kwanza ya mwezi wa 9, tutammulika nyota malkia wa muziki wa reggae ambaye huenda wengi wenu hamjawahi kumsikia. Jina lake halisi anaitwa Janine Cunningham, aka Jah9. Ni mwanadada msomi mwanaharakati ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache wa kike wanaofanya Neo Roots, na ni mwanzilishi wa mtindo wa Jazz on Dub. Janine alizaliwa mwaka 1983 Huko St. James Jamaica, amekulia na kusomea Kingstone akiishi na baba yake ambaye ni mchungani na mama yake ambaye alikuwa mtumishi. Jah9 amewahi kufanya kazi katika mashirika kadhaa makubwa, akiwa katika kilele cha mafanikio yake kazini aliamua kugeuza mwelekeo wa maisha yake, mwaka 2009 aliamua kuacha kazi na kufuata furaha ya maisha yake, muziki wa reggae.
Mwaka 2013 aliatoa Album yake ya kwanza iliyoitwa New Name, ikiwa na nyimbo kama New Name, Mr Preacherman, Avocado, Intentions na nyingine. Album iliyofanya vizuri na kumtambulisha vizuri sana katika muziki wa Reggae, hali iliyopelekea kualikwa katika matamasha mengi mno Duniani kote. Ukiskiliza sauti ya Jah9 kama haumjuwi ni lazima utauliza "Nani huyu", the girl is truly blessed!
Now the big news comes kwa wapenzi wa reggae East Africa. Huu ni mwaka wa namba 9 (2+0+1+6), namba 9 inaendelea kujirudia katika maisha ya Jah9, keshokutwa tarehe 3 Jah9 atakuwa Chigwell, UK katika tamasha la ONE LOVE SOUND FESTIVAL. (Now this makes me jelous) Akitoka UK atatua kwa jirani zetu Kenya katika kile kinachoitwa THE DUB TREATMENT! Mnamo tarehe 9 mwezi wa 9, Jah9 atazindua ulbum yake ya pili iitwayo 9 (9), show hii ya kipekee itafanyika The Alchemist, mitaa ya Westlands, tarehe 16 atakuwa Diani Beach, na tarehe 17 atakuwa Kilifi.....Lucky Kenyans!!
Show love to the Empress.....Jaaaaaah!...Rastafarai!
Aire...
7th September 2016
Empress tayari keshatua Nairobi, ready for the launch of of the most anticipated reggae album.