Reggae Lovers Rock!

Reggae Lovers Rock!

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Salaam wakuu, thread hii tutakuwa tunapeana updates zote zinazohusu Reggae Music. Reggae shows zinazofanyika jirani na maeneo yetu, requests za nyimbo mbalimbali za Reggae, riddims, dj mix nk. Kiufupi ukiamka unajiskia "Airee" wewe ingia humu kula reggae mwanzo mwisho. Mkuu Paw tunaomba utusaidie kuweka hii thread sticky kwa sababu itakuwa na frequent updates. Natanguliza shukrani
One Perfect Love!

1 September 2016:
Leo ni siku ya kwanza ya mwezi wa 9, tutammulika nyota malkia wa muziki wa reggae ambaye huenda wengi wenu hamjawahi kumsikia. Jina lake halisi anaitwa Janine Cunningham, aka Jah9. Ni mwanadada msomi mwanaharakati ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache wa kike wanaofanya Neo Roots, na ni mwanzilishi wa mtindo wa Jazz on Dub. Janine alizaliwa mwaka 1983 Huko St. James Jamaica, amekulia na kusomea Kingstone akiishi na baba yake ambaye ni mchungani na mama yake ambaye alikuwa mtumishi. Jah9 amewahi kufanya kazi katika mashirika kadhaa makubwa, akiwa katika kilele cha mafanikio yake kazini aliamua kugeuza mwelekeo wa maisha yake, mwaka 2009 aliamua kuacha kazi na kufuata furaha ya maisha yake, muziki wa reggae.

Mwaka 2013 aliatoa Album yake ya kwanza iliyoitwa New Name, ikiwa na nyimbo kama New Name, Mr Preacherman, Avocado, Intentions na nyingine. Album iliyofanya vizuri na kumtambulisha vizuri sana katika muziki wa Reggae, hali iliyopelekea kualikwa katika matamasha mengi mno Duniani kote. Ukiskiliza sauti ya Jah9 kama haumjuwi ni lazima utauliza "Nani huyu", the girl is truly blessed!

Now the big news comes kwa wapenzi wa reggae East Africa. Huu ni mwaka wa namba 9 (2+0+1+6), namba 9 inaendelea kujirudia katika maisha ya Jah9, keshokutwa tarehe 3 Jah9 atakuwa Chigwell, UK katika tamasha la ONE LOVE SOUND FESTIVAL. (Now this makes me jelous) Akitoka UK atatua kwa jirani zetu Kenya katika kile kinachoitwa THE DUB TREATMENT! Mnamo tarehe 9 mwezi wa 9, Jah9 atazindua ulbum yake ya pili iitwayo 9 (9), show hii ya kipekee itafanyika The Alchemist, mitaa ya Westlands, tarehe 16 atakuwa Diani Beach, na tarehe 17 atakuwa Kilifi.....Lucky Kenyans!!

Show love to the Empress.....Jaaaaaah!...Rastafarai!
Aire...

7th September 2016
Empress tayari keshatua Nairobi, ready for the launch of of the most anticipated reggae album.

Asante sana mkuu

Mi napenda raggae sana.
Mara nyingi sikosi kusikiliza Ngoma raggae J mos jion Efm na Rovers rocky Jp east africa radio

V
 
Tuko Pamoja mkuu, mimi ni mgonjwa wa Reggae, hakuna muziki naoupenda kama reggae, naweza nikawa naskiliza muziki mwingine lakini ikipigwa Reggae tu baasi akili yote inahamia huko! Muda huu niko ofisini lakini Scriptures Riddim mix ya MixTapeYard inagonga taratiib kwa sauti ya chini....Sikiliza kwa makini nyimbo ya kwanza kabisa, Jah Cure - Stronger.......Aire

Oneness bro, one perfect Love!
 
I like reggae music .... Chronix ... Romain Virgo .... Tarus n jimmy rilley .... Zig .... Daaah nawakubali sana hawa watu...

Namalizia kuisikiliza album ya jah cure "This is cure" ya mwaka 2015 ina vigingi vya balaa....
 
Aisee napenda sana reggae music.

Lucky dube to gather as one
Lucky dube back to my root
Lucky dube blem you
Lucky dube remember me
Lucky dube children in the street
Lucky dube victim
Lucky dube usiz
Lucky dube slave
Lucky dube prisoner
Lucky dube the way it is
Lucky dube hold on
Lucky dube don't cry
Lucky dube born to suffer
Lucky dube beholder
Lucky dube one love
Bob Marley one love
Bob Marley everything
Alpha blondy amasada
Alpha blondy sebe allah
Alpha blondy rendez
Alpha blondy sweet sweet
Alpha blondy peace in Liberia
Alpha blondy coco d rasta
Alpha blondy Jerusalem
Alpha blondy marijuana
Culture riverside nk

Reggie ni music namba moja niupendao hapa duniani
Huu uzi pia unamfaa Jimena
 
Tuko Pamoja mkuu, mimi ni mgonjwa wa Reggae, hakuna muziki naoupenda kama reggae, naweza nikawa naskiliza muziki mwingine lakini ikipigwa Reggae tu baasi akili yote inahamia huko! Muda huu niko ofisini lakini Scriptures Riddim mix ya MixTapeYard inagonga taratiib kwa sauti ya chini....Sikiliza kwa makini nyimbo ya kwanza kabisa, Jah Cure - Stronger.......Aire

Oneness bro, one perfect Love!

Mkuu hiyo ngoma ya JAH CURE - STRONGER ipo vizuri
 
hivi Buju bantoni watamuachia kweli?ni kama vibs kartel nae yuko ndani.

Pamojah.

Swissme
 
I like reggae music .... Chronix ... Romain Virgo .... Tarus n jimmy rilley .... Zig .... Daaah nawakubali sana hawa watu...

Namalizia kuisikiliza album ya jah cure "This is cure" ya mwaka 2015 ina vigingi vya balaa....
Hahahahaa, Jah Cure is the cure, jamaa ana sauti tamu balaa!
Skiliza hii Before I leave....hahahhaa, kabla sijaondoka nipe kidogo, jifanye kama haukutaka yaishe....unaweza kukutana nami bafuni.....Sihitaji kikombe cha kahawa, unasisimua mwili wangu...unachotakiwa ni kuvaa kichokozi tu...hahahahhaa, lazima mtoto arudi! Ukitaka kufaidi hii tafuta mix ya Cardiacc Bass Riddim yote, utakutana na utamu wa kina Cecile humo balaa tupu.

Reggae is Love, one perfect love!
 
Sanaaa, Jah Cure ngoma zake karibia zote nazikubali sana.
Kuna host mmoja hivi wa HOMEBOYZ RADIO ya kenya anaitwa TALLIA ONYANGO, alitupia clip instagram akiwa studio akicheza hiyo ngoma aisee the lady aliicheza vizuri sana.
 
Talia "The Night Nurse".....lol, skuiona hiyo ngoja niisake instagram.
 
Dhaa ngoma reggae ni hatar uwa nazikubali live concert za raggae za dj fulani wa kenya anaita JUAN mwenye nazo tafadhari
 
Inna ites bredrens n sistrens...sina uzingizi na nasikiza some chunes
1.Linton Kwesi Johnson-Independent Intavenshan
2.Wailing Souls-Very Well
3.Errol Dunkley-Ok Fred
4.The In Crowd-His Majesty Is Coming
5.Paula-Dynamic
Just to name a few! Niceness
 
Back
Top Bottom