Elections 2010 Regia Mtema aongoza kwa 1250, Fomu nyingine zimeota miguu!

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana, inakatisha tamaa na inaumiza. Kwanini watu walazimishe ushindi?
 
Vijana wapo wanalinda ushindi wao, wameapa kufanya mauaji pindi tu watakapochakachua
 

Shimbo, mwanajeshi anayefikiria kwa utashi mwepesi, alidai tukubali matokeo..yaaani hata huyu dada CCM wanataka kumuibia kura yake ili wabaki madarakani? hata huyu dada? hata huyu naye, hawaoni soo? hivi madaraka ni matamu kihivyo? Siamini ninachokisikia, ila wajue kuwa hata wao wana damu na nyama. hata huyu dada wanataka wachakachue?
 
jamani huyu dada anahitaji msaada sio tunakaa hapa kupga kelele tu.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
May God help and bless her and those who voted for her.
 
Dada Regia..piga moyo konde...utashinda...

Cannot believe tunatawaliwa na wezi wa mchana no wonder hatuendelei...wanajifanya wana dini ...dini gani ina support dhuluma. Wote ni wafuasi wa mwovu.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Huu ni uongo wa wazi wazi ..CCM na NEC wanatufanya sisi wajinga wanadhani wote hatuna upeo wa kuelewa kama wao
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Huu sasa ni us%%%nge watu tukiingia mtaani wasiseme nani kasababisha
 
duh,inabidi mwaka huu kuwe na kesi nyingi sana mahakamani
 
Kazi iliyobaki ni kuwachisha kazi CCM rasmi mwaka 2015, kwani hizi ni rasharasha kwao mvua ya mafuriko kamili ni 2015. Majambazi wa wajane, yatima, wazee, maskini, wagonjwa etc hakika hawastaili nadhani hata shetani mwenyewe ameshaanza kuwakana !!!!!!!!!!
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Kwa Tunduru hiyo ni sawa, huko upinzani ni CUF na CCM tu, Chadema haina nguvu kabisa huko, ata kwenye ubunge CCM imepata 19,000 kwa 17,000 za CUF wakati Chadema wana 604 tu.

Hapa ndipo tunapopata umuhimu wa muungano wa Chadema na CUF, kuna maeneo ya ukanda wa Pwani na Kusini ambayo kwao chama cha upinzani ni CUF tu.
 
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Kaka hapo ni Tunduru, sio Hai. Najua umekaa sana Jamii Forum hata ukasahau hali halisi outside the internet. What you can do, is tafuta loyal grass root leaders kila nchi, kuanzia 2010, tengeneza network ya viongozi kuanzia nyumba 10, mpaka ngazi ya taifa. Nchi nzima. Sio Kilimanjaro peke yake au in urban areas. Kila kona. Hopeful in 2015, mtakuwa mmejipanga nchi nzima.

CCM was technically started in 1929. Sasa nyie na Dr. Slaa wenu mnategemea kuiangusha kwa juhudi zilizofanywa overnight. It won't be easy, but its the beginning. And remember that CCM always re-group themselves. Kumbuka scare ya Mrema 1995 and what happened in 2000?
 
Utendaji wa Serikali ya tanzania Tusubiri hiyo miaka mitano, nakuapia, tutakuwa masikini wa kwanza Duniani labda tuuze nchi.
Au raslimali zote ziende kwa hao wanaojiita wawekezaji
 
Regia komaaa mpaka kieleweke.

Akina Mbowe,Mnyika, Zitto shukeni hapo Kilombelo mkatetee haki za wapiga kura
 
wanachadema tunaelekea kibaoni kwenda kulinda ushindi
:yield::yield::yield::yield:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…