Kama kuna watu wa kuwalaaani ni tbc na vijana wale silvery mujuni, lukas muhuvile, joseph shamba ktk kundi la the comedy, hawa ndio waliowalisha sumu ulanga kilombero kwa kuwapamba matapeli ktk program zao tangu mwaka jana, mabadiliko ni sawa lakini siyo kuwapigia debe matapeli na wajanjawajanja tu, kama suala ni ccm iendelee kutwawala basi kwanini hawakuwapigia debe watu makini ambao ni vijana na wako serikalini na asasi za kiraia? Sasa chadema wanapowapa watu alternative hawa wahuni wantumia umaarufu wao kimanjimanji kuwahubiri matapeli?!!!!!
Mimi nakubaliana na analysis ya huyu ndugu aliyeyataja maeneo yetu yote ulanga kilombero na dhiki zake.
Tuna laana sisi, hatupendani, hatusaidiani, tunadhulumiana kiakili na maarifa na mbaya zaidi kesho tunaanza kulalamika sana, na ile sifa ya watu wa moro kwa kuchonga domo........ Basi taabu tupu!!!
Dr. Slaa ujumbe wangu wa sms umeupata juu ya regia, dkt kitila, mnyika na wengineo mlindeni dada yetu, mpeni fursa ili morogoro iuone ukweli.
Viti maalum tunawapa wahaya, wachaga na sasa tumempa huyu mch.lwakatare ambaye aanapenda sana kujulikana kama m bk wakati ni mndamba wa mngeta-kilombero, huyu mama 5 yrs ahajafanya ziara ya kibunge ulanga-kilombero lakini cha ajabu ccm morogoro ameongoza kura viti maalum.
Mungu awatangulie na kama mlivyotuma regia nami pia nawaombeni in the name of kukikuza demokrasia