Wakunyumba, sikupata wasaa kuhakiki jina langu, I have been all over udsm natafuta jina langu silioni. Narudi nilipoanzia sasa nicheki upya.
Preta yaani hapa ni mpaka nipige kura ndo niondoke. I dedicated today for that only. I knw my name is smwhere wala sina shaka.usikubali mpaka kieleweke leo...wasije wakasema walivyowatisha kuwa hawataki kura zenu na nyie mkaogopa.....hiyo ni risasi....kill em all
Ngoja aje hater wake hapa lol. Na ikitokea kweli sisteri akashinda...patakuwa patamu hapa maana alikejeliwa saana hapa. Vilevile itokee ashindwe....someone will gloat and scream to high heavens 'i told you so'....cant wait to see this one plays out
NN Nimeona Regia pia yuko kwenye list ya Viti maalum CHADEMA a. Kwa hiyo porbability yake ya kuitwa mbunge ina wigo mpana . Tusubiri tuone watani wa jadi
Th 5 November 2010 kutakuwa na tafrija ya kumpongeza pale mlimani city, bila kujali matokeo yatakuwaje, hongera sana RM, USHINDI LAZIMA,
hahhahhahaha Duh NN sasa jitayarishe na wewe wenyewe wakikusikiamimi nataka ashinde ushindi mtamu na halali. Wa mezani sitaki aupate kwani hiyo itawapa akina gaijin nguvu za kuzidisha madharau yao. Dada wa watu kashambuliwa sana hapa na kiranga akishirikiana na gfriend wake gaijin lol
mimi nataka ashinde ushindi mtamu na halali. Wa mezani sitaki aupate kwani hiyo itawapa akina gaijin nguvu za kuzidisha madharau yao. Dada wa watu kashambuliwa sana hapa na kiranga akishirikiana na gfriend wake gaijin lol
Preta yaani hapa ni mpaka nipige kura ndo niondoke. I dedicated today for that only. I knw my name is smwhere wala sina shaka.
Hii risasi lazima ifyatuke leo.
[/COLOR]
'kabla ya jua kuzama utanitaja mara tatu'
naona tayari ushatimiza, mbili hapa na moja kwenye thread nyengine ............🙂
mimi nataka ashinde ushindi mtamu na halali. Wa mezani sitaki aupate kwani hiyo itawapa akina gaijin nguvu za kuzidisha madharau yao. Dada wa watu kashambuliwa sana hapa na kiranga akishirikiana na gfriend wake gaijin lol
loh! Kumbe unahesabu eeh? Basi usiku wa leo nikikuota ndotoni ntakusimulia kesho (slurp) lol
Pole sana bht wengine tushamaliza Kazi tuko hapa tunaendeleza kampeni kwa njia ya Simu tunawapigia waliolala waende wakapige kura
Nakushauru fanya kitu hiki
Kuna watu majina yao yamekosewa kwa hiyo unaweza kutafuta mpaka kesho na kuna wengine majina yao yamekuwa printed kwenye vituo tofauti na walipojiandikishai
Jambo la muhimu tumia namba ya Kitambulisho chako kusearch info kwenye online database ya NEC itakuwa rahisi sana kugundua kama wamekosea jina lako au wamekuhamisha kituo kwa Makusudi au bahati mbaya
eewwwww
Dkt. NYU asante. Nimeshapiga kura ila lazima nikiri kuwa ilikuwa papara yangu kwa upande mmoja lakini pia mtiririko wa ubandikaji karatasi sio mzuri.
Mimi na Wifi yako tumeshawakilisha hapo Mlimani Primary