Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Wakunyumba, sikupata wasaa kuhakiki jina langu, I have been all over udsm natafuta jina langu silioni. Narudi nilipoanzia sasa nicheki upya.
usikubali mpaka kieleweke leo...wasije wakasema walivyowatisha kuwa hawataki kura zenu na nyie mkaogopa.....hiyo ni risasi....kill em all