Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.
Shy ni aina ya watu waliokata tamaa kutokana na ukosefu wa utimilifu wa ndoto zao...ni aina ya wale watu wanaoishi maisha ya kufikirika...the guy is simply miserable!

Wandugu acheni stereotypes.
Regia mwanamke wa shoka na mwanasiasa shupavu nukta.
Sure shy ana mapungufu na matatizo kama ilivyo kwa kila mtu
Lakini ukiona hata mtiririko wa commnets hii sio thread ya siasa jamani.Huo ni ukweli.
Ingawa anayeoongelewa ni mwanasiasa content haina hoja ya sisasa.
Jamani lets not politicize everything. Ndio maana nchi yetu imefika hapa ilipo.
Mbona na wewe unatenda dhambi ile ile aliyotenda mwanzisha mada? Ukisema ni mwanamke wa shoka bado umembagua. Ushoka wake siyo kwa sababu ya jinsi yake bali kwa sababu ya uwezo wake. Vema ukisema ni mpiganaji wa shoka au ni mwanasiasa wa shoka.
Ni kiongozi shupavu na anao uwezo! Ni msikivu na mwenye kujifunza daima. Ni hazina kwa CDM na taifa!
Regia ni mwanasiasa shupavu nukta.
what's the point?Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU
in any knowledge there is politics.... remember there is political economy and political science...je hii ni ku politicize uchumi....? regia is a political figure ... only her appearance at any stage stands enough to be politically discussed
Sure shy ana mapungufu na matatizo kama ilivyo kwa kila mtu
Lakini ukiona hata mtiririko wa commnets hii sio thread ya siasa jamani.Huo ni ukweli.
Ingawa anayeoongelewa ni mwanasiasa content haina hoja ya sisasa.
Jamani lets not politicize everything. Ndio maana nchi yetu imefika hapa ilipo.
Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.
Swali; mada ni nini!!??? Please can you extract in one line?
speaker said:Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!
Am proud of you Regy....