Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua

haya mh Husninyo mimi naanza debe kidogokidogo
anza best, halafu anzia kwa uwiano maalum maana naona anataka kumaliza hewa.
kaka usiwakatishe tamaa,hizo kila mtu huwa nazo ila huwa zinatumika vibaya na mpinzani wako akiishiwa hoja na sera
mahusiano ni dept nyingine kabisa
unakumbuka ya akina Zuma ,clinton na wengineo?
Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua
Shy ni aina ya watu waliokata tamaa kutokana na ukosefu wa utimilifu wa ndoto zao...ni aina ya wale watu wanaoishi maisha ya kufikirika...the guy is simply miserable!
Regia ni kweli kabisa, katuaibisha hata sisi watani wake wa Sikonge.
Hapo kwenye RED nimejitahidi kusoma na kurudia mara kumi, lakini sijaelewa kitu, labda mimi nina matatizo au wewe ndio tatizo zaidi. nitashukuru kama nitapata ufafanuzi.
hahahhaha... kwa kifupi hamjawahi "kumgusa", sa sijui bado anafanya nini humu jamvini... yani roho kama ya kutu... utakuta basi kakondeanaaaa....maskini...
Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua
Regia,
Mimi nasubiri kuona yale utakayoyasimamia kwa nguvu na akili zako zote utakapokuwa Bungeni kuanzia hiyo tarehe 8 mwezi ujao kwa manufaa ya Taifa hili. Moja kati ya yanayonikera sana ni ukubwa wa BUNGE letu ambalo linatugharimu walipa kodi wa NCHI hii kuliendesha na manufaa yake siyaoni! Bahati mbaya ni kwamba Bunge hili linazidi kupanuka sio kwa mahitaji ya DEMOCRASIA au UWAKILISHI, bali kwa kutafutiana ajira tu. Tafadhali angalia jinsi ya kulishughulikia hili na hasa yafuatayo:
-Tuondoe VITI MAALUM
-Tuondoe VITI 10 vya RAIS
-Tupunguze MAJIMBO. Kila Halmashauri/Manispaa/Mji iwe na Mbunge mmoja tu.
Hivi kweli tuna ulazima wa kuwa na wabunge wengi hivi toka zanzibar kaatika bunge la JMT?
Akina dada mnapaswa kuiga moyo na ujasiri wa mh mbunge Regia
Nina imani wale wadada machachari na cv zao humu waliopo ndani na nje ya nchi hii wakijitokeza kuwania ubunge wa kuchaguliuwa na hata viti maalum nina hakikia watashinda kwa 100%
the lady is good
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Akina mama wa CHADEMA mko juu kama ndege ya Obama!!! Uwezo Mnao sana tu katika kulinda heshima, utu na maendeleo ya akina mama wote nchini Tanzania bila ubaguzi wala hiyana!!Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!
Am proud of you Regy....