Regia Mtema

Status
Not open for further replies.

She has a heart of giving too?
Tena hata kwa wasio wananchi wa jimbo lake maana tungesema anasaidia wampe kura lakini nop,hachagui!

God bless you regy,keep it up and have the heart of fearing God always and He will guide you
 

Nakubaliana nawe hapo kwenye red maana ni kweli wanawake wakiamua kufanya jambo wanalifanya kwa uhakika!
Katika kupiga kura wao ndo wanaongoza,na kwa uongozi pia pale wanapo tokea kuongoza wanakuwa viongozi shupavu kweli kweli!

Ni mda sasa wengi wajitokeze kwa ajili ya kuongoza pia sio kwa ajili ya kuchagua viongozi peke yake
 

I have one... umeadimika sana dada tangu uwe mbunge
 
nadhani mnataka kuwatoa KIRANGA na NYANI NGABU machimboni,

Heee! Hawa jamaa bado wako hai? Au kasma ya uchaguzi imekwisha na sasa wanaitwa vinginevyo!

Ni aibu eti ee! baada ya uchaguzi kuna majina yako pangoni bwana!
 
..hata mimi nimekuwa impressed sana na huyu dada.

..ninachomuomba tu aendeleze hizi sifa nzuri anazopewa hapa.

..kuhusu ulemavu, wapo walemavu wanafanya mambo makubwa kuliko sisi wengine tusio walemavu.

..nimekutana na walemavu waliobobea ktk taaluma zao, watu wenye kutegemewa mahala pao pa kazi.

..KWA UPANDE WA CHADEMA, NAWAOMBA WAWE WANAJENGA MAJUKWAA AMBAYO NI ACCESSIBLE NA NDUGU ZETU WALEMAVU. HII HABARI YA KUMUULIZA DADA REGIA KAMA ATAWEZA KUPANDA JUKWAANI NA IKOME MARA MOJA.
 

dada Regia salaam. Binafsi sina na sitegemei kuwa na negative comment mpaka hapo utakapokuwa umeshindwa kutukomboa watanzania. Pambana uwezavyo kulinda raslimali za Tanzania,sisi watoto wa mkulima tunahitaji watu kama wewe. Narudia bado sina sababu ya kukukoroa mpaka hapo utakapousaliti umma.
 

This is amazing....Kama kawaida yake,kumbe hata kwa asiowafahamu.Ngoja nami nifuate nyayo zake.
 
This is amazing....Kama kawaida yake,kumbe hata kwa asiowafahamu.Ngoja nami nifuate nyayo zake.

I dought kama utaweza,maana signature yako inaonesha kama ni kusaidia utabagua
 
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika

Shy bado haujakua? Nilihisi baada ya usaidizi wa dada na kukufanya IT and Digital Konsalitanti ungebadilika kidogo! Shame!?

Kule kwenye blogi ndiyo unajiita FriendsOfSlaa! kha! Now I can understand You can take an African from the Bush.. But?
 
Keep it up Regia,you are a reflection of how good leaders should be
 
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
..Mhusika lakini ni Mwanasiasa..Mbunge-in relation to her society. Nafikiri ungeelewa zaidi.Ni mtazamo tu nafikiri
 
..Mhusika lakini ni Mwanasiasa..Mbunge-in relation to her society. Nafikiri ungeelewa zaidi.Ni mtazamo tu nafikiri

Huyo jamaa unapoteza mda nae tu haelewi hata siku moja
 
This is amazing....Kama kawaida yake,kumbe hata kwa asiowafahamu.Ngoja nami nifuate nyayo zake.

Sure FL,i respect women sana na naamini kwa kila wanacho kisimamia kinatekelezeka kwa uhakika,wakiamua kufanya mema ni ya kupendeza na kwa kiwango cha juu,na upande mwingine ni valid pia (wanaume hufanya mambo yao in a shallow way)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…