Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Sina uhakika.Kwahiyo babu ameuziwa ngono na hako katoto
Babu ananunua ngono,labda kabinti kamempenda!
Leo ni traditional wedding yao.
Na mzazi wa kiume wa binti hajashirikishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika.Kwahiyo babu ameuziwa ngono na hako katoto
Akikujibu UniiteKwahiyo babu ameuziwa ngono na hako katoto
Umpende Mtu Sawa na Babu YakoSina uhakika.
Babu ananunua ngono,labda kabinti kamempenda!
Leo ni traditional wedding yao.
Na mzazi wa kiume wa binti hajashirikishwa.
Imekaa vibaya eeh?Umpende Mtu Sawa na Babu Yako
Mnoo!Imekaa vibaya eeh?
Ila ndo wamesha amua.
Wauza unga wanawaharibu vijana wadogo nao wanaingia katika biashara mwishowe wanaamua kuwaoaStaa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october. Mrembo huyo mwenye Mvuto wa aina yake, ameolewa akiwa mke wa sita wa Billionare huyo Mr Nokwo.
Unaambiwa Regina anamiliki Mansion za kutosha huko nchini Nigeria kwenye jiji la Abuja, maeneo ya Lekki phase 1, mitaa wanaokaa mabillionea wa kutupwa.
Regina amekua akila bata sehemu mbali mbali duniani na kuishi maisha ya kifahari pengine kuliko staa yeyote Nigeria kwa sasa
Either wanazengo wamekua wakimnanga staa huyo wa film kwa kumwambia kuwa amekosa aibu kuolewa na mtu mwenye rika la babu yake.View attachment 1108216View attachment 1108217View attachment 1108218View attachment 1108219View attachment 1108220
Weee...thubutu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee...thubutu!