Regina Daniels azawadiwa saa ya million 140 na mume wake....

Regina Daniels azawadiwa saa ya million 140 na mume wake....

Maisha jinsi yalivyo magumu,watu hawaangalii hbr za umri,muhimu ni mkono kwenda kinywani.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
... mkono kwenda kinywani haikuwa issue kwa Regina; amezaliwa, amekulia, na yuko na pesa ya kutosha tu; kilichompeleka kwa huyo babu ni tamaa ya utajiri na mali nyingi - sio zaidi ya hapo.
 
warumi punguza hasiraa aisee...!! unajua usipokuwa wewe kwenye hili jukwaa halinogi...
umenifanya mpaka Mimi chalii ya R chuga na fuatilia maudakua asiee [emoji23][emoji23]

Ahahah Piga kelele kwa warumi akeee[emoji23][emoji23], ahsante binamu

Mimi ningekua na hasira humu jukwaan ningehama kitambo sana , hawa mbwa wangu nawajua hawanisumbui hata, nawamudu[emoji16]
 
... mkono kwenda kinywani haikuwa issue kwa Regina; amezaliwa, amekulia, na yuko na pesa ya kutosha tu; kilichompeleka kwa huyo babu ni tamaa ya utajiri na mali nyingi - sio zaidi ya hapo.
Ndo hivyo,Dada zetu wengi wanaolewa na wazee kusaka utajiri

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hii inatofauti gani na zile za laki na 50 pale mtaa wa msimbazi 😎???

Sehemu kubwa ya bei ya hio saa imelipia kodi ya pango tu.
 
Kuna watu wananijua humu, nawapa ruhusu wakupe habari zangu briefly ...


Halafu wengine binamu hatuishi kwa kuhongwa, Tatizo nyie watoto wa uswahilin Kuhongwa kwenu ndo fashion , Coz hamna elimu na kwenu mnanuka umaskini, so mkipata bahati ya kuhongwa kwenu ndo mkombozi wa maisha yenu


I’m not bragging , but I’m a living a life , your dream life , I’m sure hata wewe ungeyataman kuyaishi , in short, I have got money , plenty of it , I can take myself anywhere around the world without being sponsored au kutegesha mimba , upo nyonyo??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....mkuuu fanya kunipunguzi kidogo hizo plenty of money... 0659546533
Kwa tigo pesa..
 
Mi wa bongo bhanaa akitaka kukuoneshea maisha mazuri tuu basi atakuchanganyia lugha ya mayai ili ujue kwamba Yuko vizuri na hajafulia
 
Niko na pesa Ndio maana nashangaa hawa chawa kujidhalilisha kwa pesa ambazo they can make themselves kama wakiacha kutegemea uchi zao

Zari is being respected coz ako na pesa , ako na maisha yake, she cant cheapening herself kwa ajili ya njaa , nyie Makahaba wa bongo somen , hata hao madanga wa maana hawawez kuchukua wanawake ambao hawajielewi, Class attracts class , otherwise mtaishiwa kuchezewa wenzenu wanaolewa

Again just a reminder , I have got money ,! None of these cheap bitches can compete with me , not even in a dream , maskin mbwa nyie mxiiew , wapumbavu kabisa , wajinga wa mwisho , Kwan ni mimi nimewatuma mzaliwe na shida mbwa nyie
Dada povu hiloooooooo
 
Mi wa bongo bhanaa akitaka kukuoneshea maisha mazuri tuu basi atakuchanganyia lugha ya mayai ili ujue kwamba Yuko vizuri na hajafulia

Niko na pesa , plenty of it , sina shida kabisa, account yangu imejaa kwa kweli nashukuru Mungu
 
Kiukweli mi nashangaga wanaomjia juu warumi(labda mi ndo sielewi)Hili jukwaa ni la macelebrity na tukitaka habari zao humu ndo twazipata baadhi.Mtu akisema Fulani kazawadiwa kitu flani ndo kamanisha kwamba anataka na yeye au anakua na wivu.

Ntakua labda sielewi,humu ni habari zipi hasa za mastaa zinatakiwa kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom