mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Huyu dem alikuwa kichwa sana
Yaani Pdidy umenikumbusha mbali sana
Huyu alikuwa msela wangu sana, Nakumbuka alisoma agakhan mzizima
Mshuwa wake alikuwa MD wa tanesco kipindi fulani.... Upstairs alikuwa Sawa sana
Nlikuwa nkiendaga kwao opp na American embassy kama kna mishe alikuwa anapenda kunizingua kwa mama yke... Ohh angalieni huyu "j" mjanjaa sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Any way aliondoka mapema sana sjui mpk Leo hii angekuwepo ingekuwaje
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app