Brother Kaka
Member
- Jun 11, 2013
- 90
- 54
Leo nimemsikia Regina Mwalekwa katika amka na BBC lakini naskia anajiita Regina Mziwanda. Sijajua kwa nn baada ya kujiunga na BBC Swahili anajiita Regina Mziwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimemsikia Regina Mwalekwa katika amka na BBC lakini naskia anajiita Regina Mziwanda. Sijajua kwa nn baada ya kujiunga na BBC Swahili anajiita Regina Mziwanda
Tangu utoto wake alikuwa anatumia jina hilo.
Nimesikia Regina Mwalekwa akitajwa kama Regina Mziwanda katika BBC Swahili.
Vpp wadau kuna MTU anajua ni kwa nini?
Nimesikia Regina Mwalekwa akitajwa kama Regina Mziwanda katika BBC Swahili.
Vpp wadau kuna MTU anajua ni kwa nini?
Kwa muda mrefu Regina alikuwa na mgogolo na mumewe, mpaka kupelekea wakawa wachepukaji wazuri sana! Hata salamu zake za mwaka mpya alisema Kuwa mwaka huu atachukua maamuzi magumu, nadhani yametimia, nitapata taarifa zake nitazileta.
Kwahiyo ameachana na mumewe baada ya kupata ajira inayoeleweka BBC?
Kuna mwingine wa StarTV/ RFA, kuna kipindi alivuma sana kama IVONNA RAYMOND lakin ckuhiz anajiita jina la awali ya IVONNA KAMUNTU.
Bernard James tuambie kunani ishabuma au.,?
Ndo shida ya wanawake unabadilije jina bana ukiolewa na kuachika mara 3 maana dini inaruhusu utakuwa na majina mangapi sasa kutwa kuchwa kuapa mahakamani.. akuu kwani lazima ubadili jina, ona sasa mna comfuse watu.
inatosha jamani!Kwa muda mrefu Regina alikuwa na mgogolo na mumewe, mpaka kupelekea wakawa wachepukaji wazuri sana! Hata salamu zake za mwaka mpya alisema Kuwa mwaka huu atachukua maamuzi magumu, nadhani yametimia, nitapata taarifa zake nitazileta.