Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

Ndo shida ya wanawake unabadilije jina bana ukiolewa na kuachika mara 3 maana dini inaruhusu utakuwa na majina mangapi sasa kutwa kuchwa kuapa mahakamani.. akuu kwani lazima ubadili jina, ona sasa mna comfuse watu.

Kwani huyu ni mrengo Eid au Mrengo Xmas? Ndoa tatu kama ni mrengo Xmas inawezekana? Najua kwa siye mrengo Eid mikataba yetu iko clear, kwamba badala ya kuendelea kulumbana kila mmoja anachukua hamsini zake
 
Hata angekuwa mlengo upi. Ila hii tabia ya kychukua majina ya mume madharake ni haya kila siku utabadili jina
 
Hata angekuwa mlengo upi. Ila hii tabia ya kychukua majina ya mume madharake ni haya kila siku utabadili jina

Na ndiyo maana Uislam unatamka bayana " Waiteni wake zenu kwa Ubini wa baba zao" ! Kwa mfano wewe jina la mkeo ni Rose Antony na wewe ni Sheba Sheba; hairuhusiwi mkeo baada ya ndoa aitwe Rose Sheba wala hairuhusiwi aitwe mama Sheba kwa kuwa mama Sheba huwez kulala nae kitanda kimoja! Uislam uko straight foward!
 
MI naona badala ya kumpa umaarufu mtu asiye na shukrani tena huko alipo ameamua kumshitilia mbali nae ajitangaze jina lake likue kama alivyo kuwa yeye kama ni rahisi
safi sana REGGY!
 
Kwani huyo Mweleka alikua mme wake au baba yake?

Logically Mweleka alikuwa mme wake maana regina ana mme siku nyingi sana na tushaliona tangazo akiwa na mmewe na watoto ina maana kama amebadirisha atakuwa ameolewa na mziwanda nuhu wa shilole!
 
Logically Mweleka alikuwa mme wake maana regina ana mme siku nyingi sana na tushaliona tangazo akiwa na mmewe na watoto ina maana kama amebadirisha atakuwa ameolewa na mziwanda nuhu wa shilole!
Kwenye ukurasa wake wa face book kaandika GOT MAARIED JULY 2014, sasa sijui hiyo imekaaje?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
mimi nilivyosikia hivyo nikahisi labda bbc wametaka vyeti na hilo Regina Mziwanda ni jina lake kabla hajaolewa
 
Regina ni mtu mzima sana,kama kuna tatizo na mumewe ni bora wakae wayamalize aisee
 
Kwa muda mrefu Regina alikuwa na mgogolo na mumewe, mpaka kupelekea wakawa wachepukaji wazuri sana! Hata salamu zake za mwaka mpya alisema Kuwa mwaka huu atachukua maamuzi magumu, nadhani yametimia, nitapata taarifa zake nitazileta.

Ndoa saaasa imekuwa ndoano...(ni kionjo cha wimbo)
 
Regina nakumbuka alianzia kazi Radio Tumaini na huko alijulikana kama Regina Nazahed. Baadae alivyoolewa ndio akawa anatumia Regina Mwalekwa na sasa hivi sijajua kimetokea nini nasikia Regina Mziwanda. Sasa sijui la baba ake ni Nazahed au Mziwanda au yote 2.
 
Vipi Mtangazaji huyu tuliyemzoea kwa jina la REGINA MWALEKWA katika vyombo mbalimbali vya habari hapa Nchini kwa miaka nenda rudi,

Sasa amekua REGINA MZIWANDA alipohamia BBC - LONDON?
 
Back
Top Bottom