Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi ndie mziwanda,tatizo lako wewe mwelekwa umeshindwa kutunza nikaamua kumchukua
Ndo shida ya wanawake unabadilije jina bana ukiolewa na kuachika mara 3 maana dini inaruhusu utakuwa na majina mangapi sasa kutwa kuchwa kuapa mahakamani.. akuu kwani lazima ubadili jina, ona sasa mna comfuse watu.
Kwani huyu ni mrengo Eid au Mrengo Xmas? Ndoa tatu kama ni mrengo Xmas inawezekana? Najua kwa siye mrengo Eid mikataba yetu iko clear, kwamba badala ya kuendelea kulumbana kila mmoja anachukua hamsini zake
Hata angekuwa mlengo upi. Ila hii tabia ya kychukua majina ya mume madharake ni haya kila siku utabadili jina
Kwani huyo Mweleka alikua mme wake au baba yake?Kwahiyo ameachana na mumewe baada ya kupata ajira inayoeleweka BBC?
Kwani huyo Mweleka alikua mme wake au baba yake?
Kwenye ukurasa wake wa face book kaandika GOT MAARIED JULY 2014, sasa sijui hiyo imekaaje?Logically Mweleka alikuwa mme wake maana regina ana mme siku nyingi sana na tushaliona tangazo akiwa na mmewe na watoto ina maana kama amebadirisha atakuwa ameolewa na mziwanda nuhu wa shilole!
Hebu weka picha tuone ili tujiridhishe kwamba una sababu za msingi za kula makombo, maana isije kuwa kama Babla Hassan sauti redioni nzuri kumbe ni lisanamu la michelin.
Mkuu hivi umeumba watu wangapi wewe....
Si kila comment yangu itakupendeza some time nipotezee tu, am freeman naandika chochote ninachojisikia.
Kwa muda mrefu Regina alikuwa na mgogolo na mumewe, mpaka kupelekea wakawa wachepukaji wazuri sana! Hata salamu zake za mwaka mpya alisema Kuwa mwaka huu atachukua maamuzi magumu, nadhani yametimia, nitapata taarifa zake nitazileta.