Hata asipojenga viwanda hivyo, media alizonazo hela ataziacha tu ndio maana anagawa kidogo kwa walemavu, wajane, leo polisi, na nchi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata asipojenga viwanda hivyo, media alizonazo hela ataziacha tu ndio maana anagawa kidogo kwa walemavu, wajane, leo polisi, na nchi yake
Kituo Cha Stakishari.Kituo gani wataonesha haya mashindano?
labda ule mchezo wa kitandani maana pale ndio kila mtu anajiona messiHivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Wewe jamaa unaundugu na konki liquid
Leo wameshinda ngapi?Serengeti wajipange asee! Hii michuano timu zimejipanga vizuri.
Tumepigwa tano na leo?wakwanza huo.tumepoteza. 4 kwa 5
hata kumi zingefika sema dakika 90 zilikwisha tungeendelea kucheza nazani mpaka sasa wachezaji na makocha kila mtu angekua na goli lake mkononi.Tumepigwa tano na leo?
Walizidiwa kimchezo wajipange upya.hata kumi zingefika sema dakika 90 zilikwisha tungeendelea kucheza nazani mpaka sasa wachezaji na makocha kila mtu angekua na goli lake mkononi.
Vipaji tunavyo lakini havitambuliwi mapema. China vipaji vya watoto vinatambuliwa wakiwa 3-4 yrs. wakifika 5 tayari wanakua kwenye shule maalum.Hivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Aware mshahara mzuri wafanyakazi wake KwanzaAhadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.
Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.
Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.
View attachment 1069517
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara unatolewa kwa ridhaa ya mmiliki wa kampuniAware mshahara mzuri wafanyakazi wake Kwanza
Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.
Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.
Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.
View attachment 1069517
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vijana wale pesa mkuu! Maana hata huko duniani kuna Zawadi ya mfungaji bora japo hachezi peke yake.Hawa wenye pesa ndio wanaharibu vijana. Nimesikia.mwingine anasema eti atakaye funga goli anapewa mil 5. Ivi kuna mtu anaweza funga goli pekee yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa mwanaharamuHawa wenye pesa ndio wanaharibu vijana. Nimesikia.mwingine anasema eti atakaye funga goli anapewa mil 5. Ivi kuna mtu anaweza funga goli pekee yake.
Sent using Jamii Forums mobile app