Reginald Mengi aahidi milioni 20 Kila mchezaji, Serengeti Boys ikishinda mechi 2

Hivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
labda ule mchezo wa kitandani maana pale ndio kila mtu anajiona messi
 
Serengeti wajipange asee! Hii michuano timu zimejipanga vizuri.
 
Serengeti boys hii ni mbovu kuliko zilizopita....
Kiungo kibovu, Beki ndo mbovu zaidi...angalau Washambuliaji....

Hata tukitoboa kwa Beki hii, tutaenda kitia Aibu huko Brazil....tutapigwa nyingi nyingi kila mechi....

Ukiangalia record yao Wamefungwa goli nyingi nyingi, na hata wakishinda ni 4-3....5-4 n.k inaonyesha Beki ni mbovu.
 
hata kumi zingefika sema dakika 90 zilikwisha tungeendelea kucheza nazani mpaka sasa wachezaji na makocha kila mtu angekua na goli lake mkononi.
Walizidiwa kimchezo wajipange upya.
 
Hivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Vipaji tunavyo lakini havitambuliwi mapema. China vipaji vya watoto vinatambuliwa wakiwa 3-4 yrs. wakifika 5 tayari wanakua kwenye shule maalum.

Ndiyo maana Olympic wanazoa tu medali.
 
Aware mshahara mzuri wafanyakazi wake Kwanza
 
Hawa wenye pesa ndio wanaharibu vijana. Nimesikia.mwingine anasema eti atakaye funga goli anapewa mil 5. Ivi kuna mtu anaweza funga goli pekee yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wenye pesa ndio wanaharibu vijana. Nimesikia.mwingine anasema eti atakaye funga goli anapewa mil 5. Ivi kuna mtu anaweza funga goli pekee yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vijana wale pesa mkuu! Maana hata huko duniani kuna Zawadi ya mfungaji bora japo hachezi peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…