Reginald Mengi alikuwa sio mtanzania wa kawaida, alikuwa ni mtu wa aina yake.

Reginald Mengi alikuwa sio mtanzania wa kawaida, alikuwa ni mtu wa aina yake.

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake..

Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya kitajiri mbele ya jamii kwa miaka 25 mfululizo, tangu mwaka 1995 alivotoa tsh million 300 za skuvi na kufanya party za walemavu kila mwaka tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2019 aliofariki kama sikosei..

Alikuwa na ujasiri mkubwa sana wa kuonesha lifestyle yake hio ya kitajiri mbele ya jamii, bcoz wote tunavojua pesa na biashara ni vitu ambavyo havitabiriki, Leo unazo kesho huna, Leo unapanda gari yako binafsi kesho huna nauli ya daladala..ukiwa tajiri hlf ufilisike ni aibu kubwa.

Mnaweza mkaona ni rahisi, lakini Ku-maintain utajiri na lifestyle ya kitajiri alioishi reginald mengi mbele ya jamii kwa miaka 25 mfululizo sio mchezo, party za walemavu kila mwaka na michango + misaada ya mamilioni ya shilingi kila mwaka si mchezo sometimes alikuwa anatoa hadi msaada wa tsh billion 1..shida sio kupata utajiri au kuishi kitajiri, shida ni ku-maintain hiyo status, ukizingatia mzee mengi alitajirika tangu miaka ya 1984..

Ukitaka ujue ku-maintain utajiri, na lifestyle ya kitajiri ni vigumu, muulize mike tyson alielipwa USD million 400 (tsh billion 800 za kibongo) akaishia kufilisika, waulize asilimia 65% ya wacheza kikapu wa marekani, waliolipwa mabilioni ya shilingi lkn Leo wako juu ya mawe hata kuhudumia vizuri familia zao wanashindwa, hadi wanaaibika mbele ya jamii..

Ni hayo tu.
 
Nimesoma mahala leo mali za marehemu Mzee Mrema wa Impala/Ngurudoto kule Arusha zinapigwa mnada kufidia madai ya mishahara ya wafanyakazi!!! It is not easy to maintain success hasa kwa vijana wa leo!!!
 
Mi nitamkumbuka katika huo utajiri wake alitupatia 7M kwa ajili ya project yetu moja hivi na akaahidi kuwa kila mwaka he will be donating some fund....Ila miezi michache mbele akafariki dunia....

Kifo hiki ni fumbo kubwa sana. Mzee apumzike mahala pema kwa wema wake.
 
Mi nitamkumbuka katika huo utajiri wake alitupatia 7M kwa ajili ya project yetu moja hivi na akaahidi kuwa kila mwaka he will be donating some fund....Ila miezi michache mbele akafariki dunia....

Kifo hiki ni fumbo kubwa sana. Mzee apumzike mahala pema kwa wema wake.
Jamaaa alikuwa mtoaji sana tofauti na Matajiri wengine.
 
Nimesoma mahala leo mali za marehemu Mzee Mrema wa Impala/Ngurudoto kule Arusha zinapigwa mnada kufidia madai ya mishahara ya wafanyakazi!!! It is not easy to maintain success hasa kwa vijana wa leo!!!
Hizo mali zinafika mabilioni,ndio ziuzwe kwa madai ya mishahara?vitu viko vingi vya wao kuuza tena vyenye thamani ndogo tu na kupata hiyo pesa
 
Soda na maji ya kilimanjaro vimembeba sana ila tv ,radio,magazeti ni hasara
 
The Hand That Giveth"

What type of rich man are you
Who doesn't care about the poor people?
What type of rich man are you
Who doesn't care about the helpless people?

What type of rich man are you
Who doesn't care about the poor people?
What type of rich man are you
Who doesn't care about the helpless people?

There you read it in the Bible
But don't understand what it says

It says blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh

Does it make you feel happy
When you see another man starving?
Does it make you feel happy
When you see another man with no food?
Does it make you feel great, maybe?
To see another man, without a thing

You read about it in the Bible
But didn't understand it

Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh

Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh

Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh
Blessed is the hand that giveth
Than the one that taketh..
 
Back
Top Bottom