Reginald Mengi alikuwa sio mtanzania wa kawaida, alikuwa ni mtu wa aina yake.

Soda na maji ya kilimanjaro vimembeba sana ila tv ,radio,magazeti ni hasara

TV radio na magazeti hayampi mengi hasara kama unavofikiria, lasivyo hizo kampuni zingeshafungwa cku nyingi, hlf kampuni ya the guardian inaleta faida, labda capital tv na itv ndo hazileti faida kubwa mdukuzi
 
The guardian kwenye magazeti hakuna faida,itv,hakuna faida,radio one kidogo angalau
 
Mh umejuaje, ww ni financial officer wa IPP media nn mdukuzi
Ahaaaa hakuna siri mkuu biashara ya magazeti hailipi tena bongo matangazo mengi yanatolewa mtandaoni .print media zote hali tete,the guardian kulipwa mishahara tarehe 10 ni kawaida
 
Nimesoma mahala leo mali za marehemu Mzee Mrema wa Impala/Ngurudoto kule Arusha zinapigwa mnada kufidia madai ya mishahara ya wafanyakazi!!! It is not easy to maintain success hasa kwa vijana wa leo!!!
Mkuu nifanyie wepesi hiyo Linki nami nisome
 
The monk himself
 
Kwa wizi alioufanya wa kuiba na kuchoma ma benki ya biashara na umafia wa kuwatumikisha wafanyakazi bila mikataba inayoeleweka kweli mengi hakuwa kama Mtanzania ila mnaijeria
Acha chuki binafsi na stori za kiniweni. Hazitakufanya wewe uwe tajiri kama Mengi. Aliyechoma Bank Bwana Mkono alikimbia nchi na kurudi Nyerere alipofariki. Kama hujui funga bakuli lako
 
Acha chuki binafsi na stori za kiniweni. Hazitakufanya wewe uwe tajiri kama Mengi. Aliyechoma Bank Bwana Mkono alikimbia nchi na kurudi Nyerere alipofariki. Kama hujui funga bakuli lako

Sijui ndio umeandika nini hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…