Reginald Mengi ana bahati hakufilisika kipindi cha uhai wake, la sivyo angejua binadamu ni watu wa aina gani

ushaur mgumu sana
 
Tafuta hela yako ufanye unayoyataka ww....
usipangie wenzio cha kufanya na pesa zao..
 
na siku mwanao akifa, usiwajulishe ndugu au watu wengine, kaa na mke wako, chukua maiti ya mtoto mchimbe kaburi wenyewe mumzike, na msiba kaa peke yako na mkeo tu.
 
Saidia kila mtu ndugu rafiki watu maskini wasiojiweza.Ishi na kuipenda familia yako.Weka mambo sawa before its too late maana atakayeumia ni mke na watoto wako.Ukiongelea kuhusu Reginald isingekuwa rahisi kumjua yupi ni yupi maana pesa nyingi huja na mambo mengi. Sio kila rafiki ndugu mtu baki atakuwa na nia nzuri ila unapaswa kuishi nao jinsi walivyo ukisema uchuje watu huenda ukamkasirikia kila mtu
 
mkuu huyu mpaka anasema hivi kuna kitu kimemfika, mimi pia yalishawahi kunikuta ningekuwa na moyo kama wa dudubaya kuna watu ningekuwa nimeshawatwanga risasi
Unafanya mema yote siku wakaota mabawa nawe hauna kitu unatukanwa matusi yote, hapo mwili huwa sugu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Jack nini
 

Kwepa kuandika insha ndefu kama ushasema unaweza kuwa ume 'mis judge'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…