Kuna wakati uwe na staha.Poor you, hizo takataka za mbowe kama hazijaridhishwa na ushindi wa lisu wafanye hima waondoke chamani wasitupe ugumu wa kazi, wabebe virago vyao wakimbie fasta ofisi inasafishwa sasa
Magufuki alipoingia ikulu aliweka watu wake. Mama ameweka watu wake na JK aliweka watu wake. Ni utaratibu wa kawaida kwenye taasisi kubadili watendaji. Sasa matusi, kejeli ni za Nini?