Hapana Mphamvu hii ligi inaitwa Regional Champions ligi RCL,it is a fourth tier league baada ya ligi kuu VPL,Ligi daraja la kwanza FDL na ligi daraja la pili SDL,hizi ligi tatu ni za kitaifa.Washindi watatu wa RCL watapanda daraja na kuingia ligi taifa daraja la pili SDL.Washiriki ni vilabu mabingwa wa mikoa.