Regional Champions League (RCL)

Regional Champions League (RCL)

Mabingwa wanaenda Taifa Cup ama?

Hapana Mphamvu hii ligi inaitwa Regional Champions ligi RCL,it is a fourth tier league baada ya ligi kuu VPL,Ligi daraja la kwanza FDL na ligi daraja la pili SDL,hizi ligi tatu ni za kitaifa.Washindi watatu wa RCL watapanda daraja na kuingia ligi taifa daraja la pili SDL.Washiriki ni vilabu mabingwa wa mikoa.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Jamal Malinzi... Natarajia kuona vurugu wanazofanyiwa marefa zikipungua mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom