Registration form 4 i.f.m

habari wakuu napenda kuwataarifu kuwa join instruction kwa wanafunz waliochaguliwa I.F.M kuwa fomu za kujiunga na chuo hiko zinatoka officially jumatatu 09/09/2013
nawasilisha....

source...
 
fomu zitapatikana kwenye mtandao wao au ni lazima tuende hapo chuoni?
 
asanteni kwa wote mliofuatilia na kututaarifu sisi tulio mbali na dsm.Asanteni sana!:smile-big:
 
fomu zitapatikana kwenye mtandao wao au ni lazima tuende hapo chuoni?

Hapo sina uhakika mkuu ila ni vyema ukifika hapo chuon ili ujue utaratibu mzma kwa undan zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…