Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari wakuu napenda kuwataarifu kuwa join instruction kwa wanafunz waliochaguliwa I.F.M kuwa fomu za kujiunga na chuo hiko zinatoka officially jumatatu 09/09/2013
nawasilisha....
Hapo sina uhakika mkuu ila ni vyema ukifika hapo chuon ili ujue utaratibu mzma kwa undan zaidi