Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
Wanajamvi naomba kujulishwa juu ya usajili kwa mwaka wa kwanza saut-mwanza, maana mie nimepata batch ya 3 na majina yaliwekwa net tar 5/10 wakat usajili ulianza tang tar 23/9 na hawajaweka hadhar yeyote kwa sisi wa chagua la 3 ambao weng wet ni equivalent kuwa mwisho kurpot ni lini zaid ya kuonesha penalt kwa atakaechelewa.
Msaada kwa anayejua kuhusu hili wadau
Msaada kwa anayejua kuhusu hili wadau