Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sentensi inayoeleza hoja moja au ni sentensi mbili zimeunganishwa?Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.
Ulitakaje?Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.