Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Tatizo langu mimi ni haya makanisa yanayoota kama uyoga, kama angekuwa ameamua kwenda RC , Pentecoste, Moroviani, Anglikana ama hata assembless ingekuwa poa lakini haya ya shika neno tenda neno hamna kitu tena akiangalia ndiyo atazama zaidi kwa taarifa yako
Amina.Sifa kwa Yesu
Ray C hakuwa muislamu lakini. Alikuwa mkatoliki. So ametoka ukatoliki na kuwa mprotestant. Soma maelezo yake aliyoyatoa kabla ktk link hii http://vitukovyamtaa.blogspot.com/2013/09/ray-akanusha-kuwa-na-virusi-vya-vvu.html?m=1Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.
Ukisikia mtu ameokoka ujue ana matatizo makubwa. Mtu akiwa mkristo wa kawada ni kawada, au akiwa mwislamu wa kawaida ni hali ya kawaida, lakini ukiona watu wanaingia kwenye fundamentalism ujue kuna tatizo akili, mwilini au rohoni. So it is manifestation of something inside that can not be visible.
Previously even she had the same view like yours even more radical
than yours but but hope now time manifest boldly than this scribes!
Umechagua fungu jema,usirudi tena maana utakumbwa na pepo wengine wabaya zaidi ya wale wa mwanzo.
You may ask why is she going public with it? what is she trying to have us believe and why does she want us to believe so? Why doesn't she keep it to herself? Unajua kimsingi dini ni suala la mtu binafsi, wewe na mungu wako, matendo yako yanaweza kuonesha wazi kabisa kuwa umempokea Bwana, kumpokea Bwana kwa mbwebwe halafu vitendo vyako kichinichini vinakuwa vya kutisha hadi shetani mwenyewe anaogopa....that is terrible. Ni afadhari uwe kimya na kumcha mungu, kuliko kupaza sauti Mungu Mungu na kumsujudu shetani. Walokole walio wengi (si wote) are this kind.
Mara nyingi ukisikia mtu anatangaza kuwa mimi mlokelo, unatakuwa kujua kuwa this person is trying to find some refuge. Kuna jamaa mmoja alikuwa jambazi, lakini akawa amechoka na kukorofishana na majambazi wengine wakawa wanataka kumuua akaamua kutangaza kuwa mlokole, but the fact was he was not.
By the way mungu ndio anachagua watu, watu hawajichagulishi kwa Mungu, so it s GOD and only GOD anayweza kusema huyu ataokoka na huyu hataokoka.
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.
Huu msemo huwa una maanisha nini?
Hivi umewahi kutafakari vizuri?
You may ask why is she going public with it?
MATTHEW 10 : 33
10.33 But if anyone says before men that he has no knowledge of me, I will say that I have no knowledge of him before my Father in heaven.
The Word allows her to do so for multitude to be saved via her witness.
By the way mungu ndio anachagua watu, watu hawajichagulishi kwa Mungu, so it s GOD and only GOD anayweza kusema huyu ataokoka na huyu hataokoka.
2 PETER 3 : 9
3.9 The Lord is not slow in keeping his word, as he seems to some, but he is waiting in mercy for you, not desiring the destruction of any, but that all may be turned from their evil ways
The plan of God is all to be saved and have the life abundantly.