Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Tatizo langu mimi ni haya makanisa yanayoota kama uyoga, kama angekuwa ameamua kwenda RC , Pentecoste, Moroviani, Anglikana ama hata assembless ingekuwa poa lakini haya ya shika neno tenda neno hamna kitu tena akiangalia ndiyo atazama zaidi kwa taarifa yako
Ukisikia mtu ameokoka ujue ana matatizo makubwa. Mtu akiwa mkristo wa kawada ni kawada, au akiwa mwislamu wa kawaida ni hali ya kawaida, lakini ukiona watu wanaingia kwenye fundamentalism ujue kuna tatizo akili, mwilini au rohoni. So it is manifestation of something inside that can not be visible.