Rehema Mwakangale hayupo nasi

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Nimesikia kwamba mtangazaji Rehema Mwakangale kafariki dunia hii habari ina ukweli wowote?
 
"Hakika ya sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika ya kwake tutarejea", Mola awape nguvu na amani wafiwa na amalaze amrehemu mahala pema.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe inaleta utata. Habari yenyewe iko katika mfumo wa swali wakati heading inatoa taarifa.

Kama kweli: RIP MTANGAZAJI WETU.
 
Yes amefariki. May Almighty God Rest Her Soul in Eternal Peace, AMEN.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe inaleta utata. Habari yenyewe iko katika mfumo wa swali wakati heading inatoa taarifa.

Kama kweli: RIP MTANGAZAJI WETU.
Aliandika TETESI, kwakuwa kulikuwa na uhakika tukaonelea ni vema isiwe tetesi tena. Kumradhi Shy na wengineo
 
Mungu amlaze mahali pema peponi Rehema mwakangale....Sisi tulikupenda mungu akupenda zaidi.Kazi ya mungu haina makosa.
 
RIP Rehema Mwakangale.Poleni woote.
Bwana ametwaa,Upumnzike kwa amani.
Amina.
 
Reactions: ram
RIP Rehema........Nakumbuka kati ya mwaka 2006 na 2007 kuna research ilifanywa na IPP media kuhusu presenters wake, na yeye ndiye aliibuka presenter ambaye watazamaji walikuwa wakivutiwa sana na usomaji wake wa taarifa! We will miss you very much
 
Last edited:
Sina hakika na chanzo hiki ila kuna taarifa yule dada mwingi wa tabasamu itv-habari rehema mwakangale amefariki.

Mungu ampe rehema na amani,
mbele yake nyuma yetu.
Amen
 
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema Peponi. RIP Rehema
 
yeye ametangulia, sisi tupo nyuma yake. Pole kwa wafiwa.
 
Rehema Mwakangale ni nani tena? Naomba wasifu wake.

Mungu Ailaze Roho Yake Mahala Pema Peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…