Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Nimesikia kwamba mtangazaji Rehema Mwakangale kafariki dunia hii habari ina ukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nathibitisha kuwa NI KWELI, Rehema amefariki saa 10 alfajiri ya kuamkia leo.Nimesikia kwamba mtangazaji Rehema Mwakangale kafariki dunia hii habari ina ukweli wowote?
Aliandika TETESI, kwakuwa kulikuwa na uhakika tukaonelea ni vema isiwe tetesi tena. Kumradhi Shy na wengineoKichwa cha habari na habari yenyewe inaleta utata. Habari yenyewe iko katika mfumo wa swali wakati heading inatoa taarifa.
Kama kweli: RIP MTANGAZAJI WETU.
Alikuwa Mtangazaji wa ITV.Rehema Mwakangale ni nani tena? Naomba wasifu wake.
Mungu Ailaze Roho Yake Mahala Pema Peponi.