Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako.
Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha.
Reincarnation theory inasisitiza kupenda mema ili upate tuzo jema katika maisha yako baada ya kifo.