Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 May 25, 2021 #1 Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako. Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha. Reincarnation theory inasisitiza kupenda mema ili upate tuzo jema katika maisha yako baada ya kifo.
Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako. Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha. Reincarnation theory inasisitiza kupenda mema ili upate tuzo jema katika maisha yako baada ya kifo.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 May 25, 2021 #2 Fafanua / Tafsiri kwa lugha adhimu ya kiswahili. Sio wote tunaofahamu hiyo lugha ya kikristo.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 May 25, 2021 #3 Wale wazinifu watazaliwa watakuwa K au zile nywele
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 May 25, 2021 #4 Uongooooo