Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 14
- 110
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu.
Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na nguvu na zilihitaji kuheshimiwa ili kupata baraka au kuepuka maafa.
Skuizi mnasali kwa Ai,saaa Zingine hiyo mikosi yako inatokana na kukiuka Mila za kwenu🫵