Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .
Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam.
Sasa ndio akaniomba ushauri na nyie ndio mkanishauri . Sasa ameshabadilishwa dini na sasa ni muislam na harusi wiki ijayo . . So heri yake . Katika maamuzi yake .