Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
mkumbushe uislamu ni usafi aliweke kichwani hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ilikuwa serious sana na alikuwa hana choiceMe nilijua ni wewe nikadharau kwakua najua dishi limeyumba jepesiiiiiii kama azam TV kumbe ilikuwa serious?
Usijali love ww tena ntahitaji uwe matron kabisaWachaa haya mie mchango ni kunituma vitu leta kile hiki hadi sherehe ishee
Siwez kukusahau yani ni lazima nikupe taarifa na mualikoNitashukuru sana nikikumbukwa.
Taarifa inifikie mapema ili nijipange kuserebuka kwa kiwango cha juu sana.Siwez kukusahau yani ni lazima nikupe taarifa na mualiko
Usijali kabisa.Taarifa inifikie mapema ili nijipange kuserebuka kwa kiwango cha juu sana.
Mi mfupi wewe mrefu mie nitakuwa personal assistant wa matron naweweUsijali love ww tena ntahitaji uwe matron kabisa
Katika kitu huwa sikiafiki ni KUINGIA KWENYE UISLAMU (KUSILIMU) KWA SABABU NYINGINE YEYOTE ISIYOKUWA KWA AJILI YA ALLAH( hapa inaonesha umetafuta ukweli na ukaupata) hata ikafikia hatua umesilimu hii itakufanya uwe na mapenzi na dini yako .Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .
Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam.
Sasa ndio akaniomba ushauri na nyie ndio mkanishauri . Sasa ameshabadilishwa dini na sasa ni muislam na harusi wiki ijayo . . So heri yake . Katika maamuzi yake .
Mie siwezi kuwa muislam wanavisa vingi sana na siwezo kwa sababu ya kelele na sipendi kelele hapa nilipo Mungu ananipenda nilipoKatika kitu huwa sikiafiki ni KUINGIA KWENYE UISLAMU (KUSILIMU) KWA SABABU NYINGINE YEYOTE ISIYOKUWA KWA AJILI YA ALLAH( hapa inaonesha umetafuta ukweli na ukaupata) hata ikafikia hatua umesilimu hii itakufanya uwe na mapenzi na dini yako .
OK imeisha hiyo[emoji120]Yes ilikuwa serious sana na alikuwa hana choice