Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .

Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam.

Sasa ndio akaniomba ushauri na nyie ndio mkanishauri . Sasa ameshabadilishwa dini na sasa ni muislam na harusi wiki ijayo . . So heri yake . Katika maamuzi yake .
Katika kitu huwa sikiafiki ni KUINGIA KWENYE UISLAMU (KUSILIMU) KWA SABABU NYINGINE YEYOTE ISIYOKUWA KWA AJILI YA ALLAH( hapa inaonesha umetafuta ukweli na ukaupata) hata ikafikia hatua umesilimu hii itakufanya uwe na mapenzi na dini yako .
 
Mie siwezi kuwa muislam wanavisa vingi sana na siwezo kwa sababu ya kelele na sipendi kelele hapa nilipo Mungu ananipenda nilipo
 
Back
Top Bottom