Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Jumapili saa 11 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki kikosi cha Man Utd kitakuwa ugenini St. James Park kumenyana na wenjyeji wao Newcastle United ambayo inachechemea kwenye ligi.
Cha kufurahisha ni kuwa Kocha wa Man Utd hajawahi kushinda mchezo wa ligi katika dimba la St. James Park, je rekodi itaendelea? Mimi naamini Newcastle United watatufurahisha siku hiyo kwa kuendeleza rekodi yao Murua dhidi ya Jose Mourinho.
1977072.jpg


Povu ruksa...
 
Back
Top Bottom