Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Jumapili saa 11 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki kikosi cha Man Utd kitakuwa ugenini St. James Park kumenyana na wenjyeji wao Newcastle United ambayo inachechemea kwenye ligi.
Cha kufurahisha ni kuwa Kocha wa Man Utd hajawahi kushinda mchezo wa ligi katika dimba la St. James Park, je rekodi itaendelea? Mimi naamini Newcastle United watatufurahisha siku hiyo kwa kuendeleza rekodi yao Murua dhidi ya Jose Mourinho.
1977072.jpg

Povu ruksa...
Umetisha sana mkuu, mi jana nilikuchukulia poa nikapita kimya kimya
 
FORTALEZA unatisha wewe. Embu tuchikie na mechi zingine maana kelele zimezidi mjini, Eti Mancity watakuja kupya ya tu kuanzia jan, wakati mancity anapwaya zingine zinakuwa zinashinda. 16 points clear sasa ivi. nakipindi wanapiga kelele ilikuwa tu 8 points.
 
Mrejesho ni kuwa Man Utd kafungwa 1-0

65 min GOAL! Newcastle United 1-0 Manchester United (Ritchie, 65)
66 min Off go Pogba and Lingard; on come Carrick and Mata.
67 min On the United bench, Pogba looks about to cry

Halafu mnamfananisha na Kevin de bruyne
 
Jumapili saa 11 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki kikosi cha Man Utd kitakuwa ugenini St. James Park kumenyana na wenjyeji wao Newcastle United ambayo inachechemea kwenye ligi.
Cha kufurahisha ni kuwa Kocha wa Man Utd hajawahi kushinda mchezo wa ligi katika dimba la St. James Park, je rekodi itaendelea? Mimi naamini Newcastle United watatufurahisha siku hiyo kwa kuendeleza rekodi yao Murua dhidi ya Jose Mourinho.
1977072.jpg

Povu ruksa...
Mambo ndivyo yalivyokuwa
 
Back
Top Bottom