Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 780
- 2,269
Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Tea BlenderThe player who holds this amazing record of playing full 90 minutes without the ball is Thomas Langu Sweswe of Zimbabwe. The defender played the entire 90 minutes of Kaizer Chiefs game & never touched the ballView attachment 2397897
Jamaa alikuwa anazunguka kama pia....anapishana nao tu,Natamani nioone hiyo mechi, ililuwa ni baina ya timu ipi na ipi?
Game gani hiyo niitafute?Jamaa alikuwa anazunguka kama pia....anapishana nao tu,
Mchezaji bora Africa? Hyo vipi tena? kwako mhariri...Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana
Akikujibu nitag namimi niichekiGame gani hiyo niitafute?
Ukivuta bangi hakikisha unakula nyama choma kwa sana, juice juice, kuku, matunda ya kutosha, epuka kula ugali kisamvu.Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana