Rekodi kali za dunia zilizowekwa na Waafrika. Shikamoo SWESWE

Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana
 
Huyu kweli swese yan anashindwa hata kumwambia kipa wake amwanzishie mpira
 
The player who holds this amazing record of playing full 90 minutes without the ball is Thomas Langu Sweswe of Zimbabwe. The defender played the entire 90 minutes of Kaizer Chiefs game & never touched the ball
 
Natamani nioone hiyo mechi, ililuwa ni baina ya timu ipi na ipi?
 
Sweswe nina vocha yake hapa sijui anatumia line gani huko aliko.
 
Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana
Mchezaji bora Africa? Hyo vipi tena? kwako mhariri...
 
Messi kachukua mchezaji bora dunia Mara tank Ila hajawahi kuwa mchezaji bora Afrika hata mara moja na wala hajawah kuitwa kwenye timu ya taiga inshort ana kiwango hafifu sana
Ukivuta bangi hakikisha unakula nyama choma kwa sana, juice juice, kuku, matunda ya kutosha, epuka kula ugali kisamvu.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…