Rekodi: Macedonia kazi waangusha mbuyu (Ger 1-2 Nmc)

Rekodi: Macedonia kazi waangusha mbuyu (Ger 1-2 Nmc)

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Huku wana Afrika mashariki wote tukiwa hatuendi michuano ya AFCON nchi changa ya Macedonia Kaskazini wameipiga timu ngumu ya Ujerumani wakiwa nyumbani kwao.
IMG_20210401_000634.jpg

Ujerumani 1 Macedonia Kaskazini 2 hii ni rekodi kwa nchi zote mbili, Macedonia ikiwa imemfunga timu kongwe nyumbani kwake.
 
Hahaha, betting ni ngazi ngumu mno..Germany hapo itakua alipewa odds chache sanaa, probability ilikua 99.99% atshinda.,
 
Nimecheck kwenye msimamo wao anaongoza Armenia, halafu wa pili ndio wao halafu watatu ndio Wajerumani. Kweli mpira umebadilika sana aisee
Sana leo hii Comoro ni ya kutoa droo na Misri?
 
Back
Top Bottom