Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Ulimwengu kumshuhudia mtawala wa kwanza wa kike wa Taifa lenye nguvu zaidi duniani ( Kamala Haris) Hii wakulungwa wameikataa
Au
Mbishi asiekata tamaa na kurudi ikulu baada ya kupoteza uchaguzi uliopita (Donald Trump)
Akishinda huu uchaguzi tena atakuwa ameweka rekodi 2 za kipekee,
1. Kuwazuia kina mama wawili kuwa viongozi wa Taifa kubwa (Hilary na Kamala), anatumika kudhibiti mfumo jike?
2. Kuongoza nchi kwa vipindi viwili visivyokua vya mfululizo (2 non-consecutive terms) Marais wengi kama si wote wameongoza vipindi zaidi ya kimoja kwa mfululizo
Akishinda Trump Leo it's means USA wantuambia gender balance ni propaganda tu, na gender roles ziheshimiwe mwanamke ni msaidizi wa mwanaume tu na si vinginevyo bali mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke, hayo mengine wanatulisha matango pori.
(Hatimae hayo hapo juu yametimia)
Akishinda Kamala basi tujiandae rasmi kisaikolojia kwa Ile wanayoiita Agizo Jipya la Dunia
Yaani Mambo ya utawala wa Mishangazi, Upinde, Abortion na kila aina ya uharibifu wa Maagizo ya Mungu
Yetu macho ndani ya masaa takribani 36-72 Toka Sasa.
Mungu ukaonekane huko maana Africa Bado tuna masomo mengi ya kujifunza kutokana na huyu kiranja mkuu wa Dunia (USA).
Wakati Mwema,
SETIC.