Rekodi mpya kuwekwa Marekani Leo November 5, 2024

Third World War is imminent !
Je ni yupi kati ya Kamala na Trump atakayeichochea moto ili ianze Rasmi ??!
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
KWani unataka Kamala Achaguliwe sababu ya kuwa ni Mwanamke? Sasa bapo huoni unaleta ubaguzi?
Hapana, Namaanisha maamuzi ya USA wakati huu yatatupa mwelekeo juu ya Gender Balance na nafasi ya mwanamke katika utawala kwa jicho la tatu maana Hawa jamaa US ni sehemu kubwa ya deep state ya ulimwengu huu wa kuonekana kwa macho ya nyama.
Sasa kwa sababu 2016 walimkataa mwanamke kuongoza ni shauku yangu kuona uamuzi wa wao uchaguzi huu na implications zake kwenye medani za kijamii na kisiasa kwa ujumla.
 
Hatimae imekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…