Rekodi mpya Ulaya

Rekodi mpya Ulaya

Wapenda michezo wenzangu naomba tukumbushane binafsi sikumbuki mara ya mwisho iliwekwa mwaka gani UEFA na ikitokea UROPA kukutanisha timu za ligi moja.
LIVERPOOL VS TOTTENHAM ( UEFA)

CHELSEA VS ARSENAL ( UROPA)
Team 4 za spain imeshatokea mara mbili kufika fainali za eufa champ na europa... hiii miake ya 2010 kuja mbele...

hapo hamna historia mpya.
 
Team 4 za spain imeshatokea mara mbili kufika fainali za eufa champ na europa... hiii miake ya 2010 kuja mbele...

hapo hamna historia mpya.
umeelezea kijinga sana kama vile umeishia la pili B.
miaka ya 2010 kuja mbele ndio mwaka gani huo kwenye kalenda.sema ligi ya mwaka flani fainali ya uefa walikutana team x na team y mwaka huohuo kwenye Eurpoa walikutana team A na team B zote hizo zipo ligi moja na ubingwa wa uefa alichukua flani na ubingwa wa europa alichukua flani
hiyo ndio analysis ya kimichezo
 
Team 4 za spain imeshatokea mara mbili kufika fainali za eufa champ na europa... hiii miake ya 2010 kuja mbele...

hapo hamna historia mpya.

Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tu

NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK. Ni mara ya kwanza soma hapa chini

===============================================================================
English clubs have created European football history by taking all four final spots in the continent's two major competitions.
Arsenal won in Valencia and Chelsea beat Eintracht Frankfurt on Thursday to reach the Europa League final.
That followed dramatic wins for Liverpool over Barcelona and Tottenham against Ajax in the Champions League.
It is the first time all four finalists in Europe's top two competitions have come from one nation.
There have only been two all-English finals before, with Tottenham beating Wolves in the 1971-72 Uefa Cup and Manchester United beating Chelsea in the 2007-08 Champions League.
Spain had three teams in the finals of the two competitions in 2015-16, with Real Madrid and Atletico Madrid contesting the Champions League trophy and Unai Emery's Sevilla winning the Europa League.
"In England the level is very high and the Premier League is the best championship in Europe," said Chelsea manager Maurizio Sarri.
Arsenal and Chelsea will meet in Baku, Azerbaijan - 2,468 miles from London - on 29 May, with a Champions League spot at stake for the Gunners, who could become the fifth English side to qualify for next season's competition. Chelsea are already assured of their place after cementing a top-four finish in the Premier League.
Baku's Olympic Stadium has a capacity of 68,700 but Uefa has allocated only 6,000 tickets to each club, a decision Arsenal described as "disappointing", adding that it presents them with "extreme difficulties" in how to allocate tickets".
Tottenham and Liverpool will meet in Madrid on 1 June, with fans of those clubs also facing travel issues of their own, with direct flights from the UK reaching £1,300 and some airlines being accused of "profiteering".
The Premier League clubs' achievements means there will also be an all-English Uefa Super Cup in August. That game will be played in Istanbul, Turkey.
 
Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tu

Hii ni kutoka BBC (report ya mechi ya Chelsea na Eintracht Frankfurt)

Eden Hazard scored the winning penalty as Chelsea edged past Eintracht Frankfurt 4-3 on penalties to set up an all-English Europa League final against Arsenal.
Hazard, who could have played his final game for the Blues at Stamford Bridge, converted after Chelsea goalkeeper Kepa Arrizabalaga had saved from both Martin Hinteregger and Goncalo Paciencia.
Chelsea will now meet Arsenal in the final in Baku on 29 May and the result means both the Champions League and Europa League final will be played between English clubs this season - the first time all four finalists in Europe's top two competitions have come from one nation.
 
umeelezea kijinga sana kama vile umeishia la pili B.
miaka ya 2010 kuja mbele ndio mwaka gani huo kwenye kalenda.sema ligi ya mwaka flani fainali ya uefa walikutana team x na team y mwaka huohuo kwenye Eurpoa walikutana team A na team B zote hizo zipo ligi moja na ubingwa wa uefa alichukua flani na ubingwa wa europa alichukua flani
hiyo ndio analysis ya kimichezo
Exactly!
 
Hii ni kutoka BBC (report ya mechi ya Chelsea na Eintracht Frankfurt)

Eden Hazard scored the winning penalty as Chelsea edged past Eintracht Frankfurt 4-3 on penalties to set up an all-English Europa League final against Arsenal.
Hazard, who could have played his final game for the Blues at Stamford Bridge, converted after Chelsea goalkeeper Kepa Arrizabalaga had saved from both Martin Hinteregger and Goncalo Paciencia.
Chelsea will now meet Arsenal in the final in Baku on 29 May and the result means both the Champions League and Europa League final will be played between English clubs this season - the first time all four finalists in Europe's top two competitions have come from one nation.
Bado anabisha!!!!!
 
Real Madrid imekaa tangu 2002 bila ya kuchukua kombe la UEFA hadi 2013 alipokuja Ancellot, lkn ktk hiyo miaka 11 ni yenyewe R. Madrid ilitumia pesa nyingi mno ktk usajili.

Watu wanaangalia mafanikio tu pasipokujua timu iligharamika kiasi gn ktk kujijenga imara.
Haswaaaaaa !!!!
 
Back
Top Bottom