Rekodi mpya Ulaya

Timu nne haziwezi kukutana, labda iwe makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujanielewa UEFA final na UEROPA final kukutanisha timu ambazo zote ziko lig moja EPL
 
Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tu
Sawa Wewe mkweli nitajie Mwaka gani na ni timu zipi ziliingia,
Halafu siku nyingine usiniite Muongo,weka ukweli/usahihi wa jambo ambalo unahisi sikuwa sahihi,na si kuniita Muongo kwani hunijui.
Sasa NAKUSUBIRI UNIWEKEE HUO MWAKA AMBAO SPAIN ILIINGIZA TIMU MBILI CHAMPIONS LEAGUE NA MBILI UEFA CUP,
Fanya haraka
 
Team 4 za spain imeshatokea mara mbili kufika fainali za eufa champ na europa... hiii miake ya 2010 kuja mbele...
hapo hamna historia mpya.
ficha ujinga wako mashirika yote ya habari wanasema mara ya kwanza ww unaasume nini wakati timu nn fainali mbili haijawahi tokea ww unaakili z hapo unadhani ni timu mbili fainali moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…