Rekodi ngumu 4 katika soka za CR7 ambazo ni ngumu kuvunjwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ana rekodi ambazo hakuna wa kuzivunja eg kufunga mabao 91 kwa simu mmoja (mwaka mmoja)
Hii uwezekano wa kuvunjwa Ni mkubwa mnooo ila za mnyama cr7 hazivunjwi labda miaka 500 ijàyo!
 
Aisee nikitafuta mke ntahakikisha hajui mpira ... Kuna demu mmoja nimemwambia yanga wametolewa kwenye kombe LA dunia ... Nkamwambia nna stress kinoma ... Hahah nmetunukiwa !!![emoji38] [emoji41]
[emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…