nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Hii uwezekano wa kuvunjwa Ni mkubwa mnooo ila za mnyama cr7 hazivunjwi labda miaka 500 ijàyo![emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ana rekodi ambazo hakuna wa kuzivunja eg kufunga mabao 91 kwa simu mmoja (mwaka mmoja)