Rekodi ngumu 4 katika soka za CR7 ambazo ni ngumu kuvunjwa

Melvine

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
701
Reaction score
1,334
REKODI 4 ZA CHRISTIANO RONALDO KWENYE SOKA AMBAZO ZITAKUA NGUMU KUVUNJWA NA MTU YOYOTE KATIKA ULIMWENGU WA SOKA.

Akiwa katika ngazi ya klabu au timu ya taifa, Christiano Ronaldo anaonekana kuvunja rekodi za soka katika kila wiki.Achana na umri wake wa miaka 33, hapa kila mchezaji anaanza kushuka kiwango, kuanza kuangalia atastaafu vipi kwa heshima, lakina kwa Christiano Ronaldo nitofauti kabisa. Anaonesha kiwango kikubwa na kusahau kutundika daluga (kustaafu).

Uyu ni mkongwe sasa wa soka la Ureno ambaye ana kila rekodi ya soka kwa jina lake, rekodi zake nyingi zinaweza shabiiana na wengine lakini nyingi zake zinaweza kufikiwa na chache hazitoweza kufikiwa/kuvunjwa kutokana aina ya soka la sasa dunia linalohitaji na aina ya mikataba ya klabu hizi za soka zinazoingia na wachezaji wao.

Zifuatazo ni rekodi nne (4) pekee ambazo zinazoonekana ni vigumu au kuchukua hata miaka zaidi ya 200 au 300 ilizifikiwe au kuvunjwa.

1. Kushinda mataji/ heshima ya mtu binafsi na kwa timu akiwa katika vilabu viwili tofauti.

upload_2018-4-4_11-34-14.png

Ronaldo ameshinda Tuzo ya mwanasoka bora (BallonD’or), Mwanasoka bora wa mwaka, Kiatu cha dhahabu, Ligi ya UEFA, Ligi ya ndani, Vikombe vya ndani vya nchi husika, Klabu bingwa za vilabu duniani na Domestic Super Cup akiwa na timu mbili.

Mhasimu wake mkubwa, Lionel Messi ameyafikia haya tu akiwa na timu yake ya Barcelona katika kipindi kizuri cha karia (fani) yake ya soka. CR7 ameyafanya aya katika vilabu viwili vikubwa duniani Manchester United na Real Madrid.

Mchezaji wa karibu kufuata rekodi hii ni mchezaji mkongwe wa Ufaransa Zinedine Zidane, ambae ameshinda tuzo na heshima kadhaa katika soka akiwa Juventusna Real Madrid, ila si zote kama CR7.

2. Kupachika mabao 300 katika La Liga katika mechi 286 tu.

upload_2018-4-4_11-34-57.png

Tangu ajiunge na Real Madrid mwaka 2009 unaweza ukasema amekua ni mashine ya kufunga magoli tu.

Mkongwe huyu wa Madrid ana wanyanyasa makipa msimu kwa msimu na hii ni mechi yake ya 286 tu katika La Liga, ameshinda magoli 300 ambayo ni magoli mengi na ya haraka kwa idadi za mechi ambapo hakuna mtu yoyote aliyefikia.

Katika mechi ya 200 alikua kashapachika magoli 100 nyavuni, hakuna mwanasoka yeyote yule katika La liga ambaye amefikia rekodi na kuanzia hapo mambo yakawa moto na hakuacha kufunga mpaka leo hii.

3. Kufunga magoli 50 katika misimu 6 mfululizo katika Ligi 5 bora duniani.

upload_2018-4-4_11-36-23.png

Kuwa mchezaji wa haraka kufunga magoli 300 katika La Liga sio tu kuonesha yeye ni aina gani ya mashine ya kupachika magoli lakini miguu yake tu pekee imefunga magoli 50 katika kila msimu wa misimu 6 mfululizo. Ili ni jambo la kustahajabisha sana.

Kufanya hii rekodi iwe ya kipekee zaidi, Lionel Messi yeye ameweza kufanya hivi katika misimu 3 tu mfululizo.

Kufunga magoli 50 katika msimu mmoja ni jambo la ajabu sana na kufanya hivyo katika misimu 6 mfululizo ni suala la ajabu kupita kiasi na kuvunja rekodi hii ni kama haitowezekana katika kipindi cha usoni.

MISIMU 6 MFULULIZO YA RONALDO KUFUNGA MAGOLI 50 NA ZAIDI.

Msimu10/11: Mechi 54, Magoli 53

Msimu11/12: Mechi 55, Magoli 60

Msimu 12/13: Mechi 55, Magoli 55

Msimu 13/14: Mechi 47, Magoli 51

Msimu 14/15: Mechi 54, Magoli 61

Msimu 15/16: Mechi 48, Magoli 51

4. Kufunga magoli zaidi ya 10 katika ligi ya mabingwa (UEFA) katika misimu 7 mfululizo.

upload_2018-4-4_11-37-28.png

UEFA ligi ndio ligi pekee ambayo CR7 anapafomu kwa kiwango kikubwa mno, na huu ndio ushuhuda wa rekodi ambazo anazo katika klabu yake ya sasa ya Madrid.

Kwa kuweka hii rekodi kuwa ya kipekee, hakuna mchezaji wowote wa mpira wa miguu ambae ameweza kufikia rekodi yake ya angalau hata misimu 2 ingawa mashindanohaya ya UEFA yanazaidi ya miaka 60 na kwa sababu hii ni sawa na kusema hakuna uwezekano wa rekodi hii kuvunjwa uko mbele.

Kwa kuongezea, Ronaldo bado amekua bora katika ligi hii katika sehemu ya kufunga na inavyoonekana atazidi kuongeza rekodi hii – ambapo atafanya pia kuwa vigumu kuvunjwa kwa rekodi hii.

Melvine.!

bmelvine@yahoo.com
 
REKODI 4 ZA CHRISTIANO RONALDO KWENYE SOKA AMBAZO ZITAKUA NGUMU KUVUNJWA NA MTU YOYOTE KATIKA ULIMWENGU WA SOKA.

Akiwa katika ngazi ya klabu au timu ya taifa, Christiano Ronaldo anaonekana kuvunja rekodi za soka katika kila wiki.Achana na umri wake wa miaka 33, hapa kila mchezaji anaanza kushuka kiwango, kuanza kuangalia atastaafu vipi kwa heshima, lakina kwa Christiano Ronaldo nitofauti kabisa. Anaonesha kiwango kikubwa na kusahau kutundika daluga (kustaafu).

Uyu ni mkongwe sasa wa soka la Ureno ambaye ana kila rekodi ya soka kwa jina lake, rekodi zake nyingi zinaweza shabiiana na wengine lakini nyingi zake zinaweza kufikiwa na chache hazitoweza kufikiwa/kuvunjwa kutokana aina ya soka la sasa dunia linalohitaji na aina ya mikataba ya klabu hizi za soka zinazoingia na wachezaji wao.

Zifuatazo ni rekodi nne (4) pekee ambazo zinazoonekana ni vigumu au kuchukua hata miaka zaidi ya 200 au 300 ilizifikiwe au kuvunjwa.

1. Kushinda mataji/ heshima ya mtu binafsi na kwa timu akiwa katika vilabu viwili tofauti.

View attachment 733950

Ronaldo ameshinda Tuzo ya mwanasoka bora (BallonD’or), Mwanasoka bora wa mwaka, Kiatu cha dhahabu, Ligi ya UEFA, Ligi ya ndani, Vikombe vya ndani vya nchi husika, Klabu bingwa za vilabu duniani na Domestic Super Cup akiwa na timu mbili.

Mhasimu wake mkubwa, Lionel Messi ameyafikia haya tu akiwa na timu yake ya Barcelona katika kipindi kizuri cha karia (fani) yake ya soka. CR7 ameyafanya aya katika vilabu viwili vikubwa duniani Manchester United na Real Madrid.

Mchezaji wa karibu kufuata rekodi hii ni mchezaji mkongwe wa Ufaransa Zinedine Zidane, ambae ameshinda tuzo na heshima kadhaa katika soka akiwa Juventusna Real Madrid, ila si zote kama CR7.

2. Kupachika mabao 300 katika La Liga katika mechi 286 tu.

View attachment 733951

Tangu ajiunge na Real Madrid mwaka 2009 unaweza ukasema amekua ni mashine ya kufunga magoli tu.

Mkongwe huyu wa Madrid ana wanyanyasa makipa msimu kwa msimu na hii ni mechi yake ya 286 tu katika La Liga, ameshinda magoli 300 ambayo ni magoli mengi na ya haraka kwa idadi za mechi ambapo hakuna mtu yoyote aliyefikia.

Katika mechi ya 200 alikua kashapachika magoli 100 nyavuni, hakuna mwanasoka yeyote yule katika La liga ambaye amefikia rekodi na kuanzia hapo mambo yakawa moto na hakuacha kufunga mpaka leo hii.

3. Kufunga magoli 50 katika misimu 6 mfululizo katika Ligi 5 bora duniani.

View attachment 733954

Kuwa mchezaji wa haraka kufunga magoli 300 katika La Liga sio tu kuonesha yeye ni aina gani ya mashine ya kupachika magoli lakini miguu yake tu pekee imefunga magoli 50 katika kila msimu wa misimu 6 mfululizo. Ili ni jambo la kustahajabisha sana.

Kufanya hii rekodi iwe ya kipekee zaidi, Lionel Messi yeye ameweza kufanya hivi katika misimu 3 tu mfululizo.

Kufunga magoli 50 katika msimu mmoja ni jambo la ajabu sana na kufanya hivyo katika misimu 6 mfululizo ni suala la ajabu kupita kiasi na kuvunja rekodi hii ni kama haitowezekana katika kipindi cha usoni.

MISIMU 6 MFULULIZO YA RONALDO KUFUNGA MAGOLI 50 NA ZAIDI.

Msimu10/11: Mechi 54, Magoli 53

Msimu11/12: Mechi 55, Magoli 60

Msimu 12/13: Mechi 55, Magoli 55

Msimu 13/14: Mechi 47, Magoli 51

Msimu 14/15: Mechi 54, Magoli 61

Msimu 15/16: Mechi 48, Magoli 51

4. Kufunga magoli zaidi ya 10 katika ligi ya mabingwa (UEFA) katika misimu 7 mfululizo.

View attachment 733960

UEFA ligi ndio ligi pekee ambayo CR7 anapafomu kwa kiwango kikubwa mno, na huu ndio ushuhuda wa rekodi ambazo anazo katika klabu yake ya sasa ya Madrid.

Kwa kuweka hii rekodi kuwa ya kipekee, hakuna mchezaji wowote wa mpira wa miguu ambae ameweza kufikia rekodi yake ya angalau hata misimu 2 ingawa mashindanohaya ya UEFA yanazaidi ya miaka 60 na kwa sababu hii ni sawa na kusema hakuna uwezekano wa rekodi hii kuvunjwa uko mbele.

Kwa kuongezea, Ronaldo bado amekua bora katika ligi hii katika sehemu ya kufunga na inavyoonekana atazidi kuongeza rekodi hii – ambapo atafanya pia kuwa vigumu kuvunjwa kwa rekodi hii.

Melvine.!

bmelvine@yahoo.com
Messi is the best player but Ronaldo is the Killer of Scoring full stop.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] tulikua tunaenda wote mpirani mpk saa nane usiku burudani!!

Yeye Barca Mimi Madrid [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila sa hv responsibilities zimezidi nimepunguza
Aisee nikitafuta mke ntahakikisha hajui mpira ... Kuna demu mmoja nimemwambia yanga wametolewa kwenye kombe LA dunia ... Nkamwambia nna stress kinoma ... Hahah nmetunukiwa !!![emoji38] [emoji41]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ana rekodi ambazo hakuna wa kuzivunja eg kufunga mabao 91 kwa simu mmoja (mwaka mmoja)
 
Asante mleta mada ndowatu waache kumfananisha Mnyama Cr7 na ujinga wa Mess jana kwenyewe wamekutana na Roma ata kupata kagolo kamoja hamna anakata viuno2 alafu bado wanampambanisha na king of the king Cr7.
 
Uwezo wa messi na Ronaldo huwa naupima wakikutanishwa tu
 
Back
Top Bottom