Rekodi nyingine bandari ya Mtwara: Meli kubwa kutoka Uholanzi yatia nanga tayari kusafirishia shehena ya Makaa ya Mawe

Rekodi nyingine bandari ya Mtwara: Meli kubwa kutoka Uholanzi yatia nanga tayari kusafirishia shehena ya Makaa ya Mawe

Kwani mafuta hayana kazi nyingi na huko teknolojia hazijabadilika?........unaanzaje kupinga mradi mmoja wa bomba la mafuta wakati kuna mamilioni ya project za kuzalisha mafuta duniani na dunia bado inatumia nishati ya gesi na mafuta kwa kiwango kikubwa..........unafiki wa beberu upo palepale.
Ishu ya uchafuzi wa mazingira technology imekua ya kupunguza madhara
 
Coal kwa sasa imepanda bei na kuna mahitaji ulaya ya makaa ya mawe maana wamewasha baadhi ya mitambo yakuzalisha umeme yanayotumia makaa ya mawe kujaribu kupunguza utegemezi kwa Mrusi...

Kwetu sisi tunapaswa kuongeza uzarishaji ili tutengeneze faida haraka na watu wetu kupata ajira pamoja na kustimulate uchumi wa kusini..

Kuna haja pia ya kuspeed up uzarishaji wa Graphite pale Lindi maana pia bei ya graphite iko juu na speed ya utengenezaji wa magari ya umeme imeongezeka...
 
Sio kwamba coal imepanda bei , bali coal yetu ina vumbi kidogo na calorific value yake ipo juu, sisi ndo tunaanza kuchimba wenzetu huko walianza miaka mingi iliyopita quality wanayozalisha kwa sasa ni ni ndogo
Walipoanza kuijua coal yetu kila nchi anataka kuitumia ,
 
Tunahitaji bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya Meli kubwa zaidi
Kukazana na Bagamoyo ni kuonesha kuwaa hatujui biashara ya Bandari, infact, uwepo wa banadri Mtwara unajionesha wenyeewe kuwa bandari ya mtwara inaweza kufanya biashara zaidi kuliko location nyingine
 
Katika South of Sahara coal yetu ndiyo yenye calorific ndogo. Zimbabwe has the highest
Siijui coal ya zimbabwe ,unaweza kuwa sahihi kwa hilo , ila coal ya south africa naijua sana ,ipo very low on calories
 
Mimi mtazamo wangu, tunahitaji kuziendeleza zilizopo ili zieze kuwa na ufanisi mkubwa
Uziendeleze hadi wapi? Dar port utaiendelezaje pale imeshabanwa na ina kina kifupi ? Kutokana na ufinyu wa nafasi ndio maana wanajenga kwala dry port...

Nyie mna mawazo finyu,Nchi ikifikia uchumi wa doba bil.100 tuu hiyo Bandari itakuwa kichefuchefu na hapo tunaongelea by 2030..

Hizo zingine haziko eneo strategic kwamba utalazimisha watu watumie.
 
Kukazana na Bagamoyo ni kuonesha kuwaa hatujui biashara ya Bandari, infact, uwepo wa banadri Mtwara unajionesha wenyeewe kuwa bandari ya mtwara inaweza kufanya biashara zaidi kuliko location nyingine
Kwa hiyo kukiwa na congestion Dar port Mfanyabiashara wa Rwanda atakuja kutumia port ya Mtwara? Mtu wa Congo atakuja kutumia port ya Mtwara?
 
Kama nayaona malori yanavyopishana kwenda na kurudi...hivi bado wanachukulia makaa ya mawe kule Kitai? Kwa wale wazoefu mnijibu?
 
Naona mwanzisha uzi yuko majichumvi,
Ni vizuri bana, tuepuke wawekezaji!
Lakini mchakato umeishaanza, lengo ni ku- overtake Mombasa.
"Kazi iendelee"
 
Kama nayaona malori yanavyopishana kwenda na kurudi...hivi bado wanachukulia makaa ya mawe kule Kitai? Kwa wale wazoefu mnijibu?
Bado makaa yanatoka amani makoro , paradiso na mbiga ,kupitia kitai
 
Katika South of Sahara coal yetu ndiyo yenye calorific ndogo. Zimbabwe has the highest.
Coal is worst polluter, shame it hasnt been phased out tangu enzi za industrial revolution.
 
Hivi yule Ibilisi Jiwe aliwatilia watu dawa gani mpaka wanaweweseka kumtaja huku hakufanya jambo lolote la maana?
Unaweza kusemwa kwa mabaya au mazuri.huyo marehemu anasemwa kwa mabaya uwe unaelewa.
 
Meli kubwa kubwa zinazidi kumiminika Mtwara port 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220625-104322.png
    Screenshot_20220625-104322.png
    143.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom